.
Sekta ya Afya nchini Tanzania imezidi kupiga hatua katika kuboresha huduma. Wananchi wameendelea kufaidika na matokeo hayo. Katika Makala hii Dkt. Dorothy Gwajima, Naibu Katibu Mkuu Afya OR – TAMISEMI na Meneja Mradi wa HPSS Tuimarishe Afya, Bw. Ally - Kebby Abdallah na Katibu wa Kituo cha Afya cha Makole wamezungumzia mafanikio ya Mfuko wa Bima ya Afya jamii – CHF Iliyoboreshwa nchini. BONYEZA HAPA KUONA VIDEO